Wednesday, July 13, 2016

Tuesday, July 12, 2016

MASWETA YANAYOPENDWA KWA SWAGWA MBALIMBALI

je wajua sweta aina ya opp ni sweta linalovaliwa wakati wote .wakati wa baridi au joto .opp hupendwa kuvaliwa na jinsia zote ,pia opp huvaliwa na wasanii mbalimbali kama joo makini  Dogo janja  na wengine wengi[picha na sada moyo]

Monday, July 11, 2016

UREMBO WA KUCHA
















Image result for urembo wa kucha
Image result for urembo wa kucha



Hizi ni rangi za kucha ambazo hupendwa na warembo wengi na rangi hizi hupakwa kwa dhumuni la kumechisha na rangi za nguo au viatu.


Image result for vya kike